Benki ya Dunia yaridhia kuikopesha Tanzania dola milioni 300

No Comments

Rais Magufuli na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Dkt Hafez Ghanem wamefanya mazungumzo Ikulu, Dar es Salaam Benki ya ...

Read More

Tetesi za Soka Ulaya Alhamisi 15.11.2018: De Gea, Wenger, Foden, Neymar, Mbappe, Smalling

No Comments

Image captionMeneja wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger Meneja wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amekataa kuchukua nafasi ya Slavisa Jokanovic ...

Read More

Ninajizuia kuwabusu wasichana kwa sababu ni hatari kwa maisha yangu

No Comments

 pichaOLI WEATHERALLImage captionOli Weatherall Kuna sababu kadhaa zinazoweza kumzuia mtu kubusu Рkufa kawaida sio moja ya sababu hizo. Lakini kwa ...

Read More

Jamal Khashoggi: Mwendesha Mashtaka Saudia ataka waliomuua mwanahabari wapatiwe adhabu ya kifo

No Comments

Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu nchini Saudi Arabia imemaliza uchunguzi wake juu ya nani aliyeamuru kuuawa kwa mwanahabari Jamal Khashoggi na ...

Read More

Denmark yasitisha msaada Tanzania kutokana na kauli dhidi ya wapenzi wa jinsia moja

No Comments

Image captionWaziri wa Ushirikiano wa Maendelo wa Denmark Ulla Tornaes amesitisha ziara yake nchini Tanzania Nchi ya Denmark imezuia krone milioni ...

Read More

Mwanamke ajifungua mtoto baada ya kupandikizwa mfuko wa uzazi India

No Comments

Haki miliki ya pichaGALAXY CARE HOSPITALImage captionMeenakshi Valand ni mwananamke wa 12 duniani kujifungua mtoto baada ya kupandikizwa mfuko wa uzazi ...

Read More

Utafiti umebaini kuwa wazazi hawana ufahamu kuhusu uwezekano wa watoto wao kuugua ugonjwa wa kisukari.

No Comments

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionMwanamke wa kisomali akimshikilia mtoto wake anayeugua kisukari Kaskazini Mashariki mwa Kenya Ulimwengu unapoadhimisha siku ya ...

Read More

Rais Magufuli asema hatochoka kubadili mawaziri

No Comments

Rais wa Tanzania John Pombe Magfuli amesema hatachoka kufanya mabadiliko ya baraza lake la mawaziri kila itakapohitajika. Ndani ya miaka mitatu ...

Read More

Magufuli aamuru Jeshi kukusanya korosho kutoka kwa wakulima, wanunuzi wafungiwa

No Comments

Rais wa Tanzania John Magufuli amesema kwamba kuanzia Jumatatu wanunuzi wa korosho hawaruhusiwi tena kununua bidhaa hiyo kutoka kwa wakulima. Serikali ...

Read More

Bobi Wine: Nyota wa muziki wa pop na mbunge afanya tamasha la kwanza tangu akamatwe

No Comments

Image captionBobi Wine Nyota wa muziki wa pop na mbunge wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine amefanya tamasha lake kwanza tangu ...

Read More

Mlipuko wa sasa wa Ebola ndio mbaya zaidi katika historia nchini DRC karibu 200 wafariki tangu Agosti

No Comments

Image captionWatoa huduma za afya kwa sasa wanawachanja watu kuzuia kusambaa ugonjwa huo Mlipuko wa saa wa Ebola nchini Jamhuri ya ...

Read More

Trump amfuta kazi Session: Whittaker ateuliwa kuwa mwanasheria mkuu

No Comments

Rais wa Marekani Donald Trump amemfukuza kazi Mwanasheria mkuu wa nchi hiyo Jeff Session. Akitoa taarifa kupitia mtandao wa Twitter, Rais ...

Read More

Waandishi wa habari wawili wa CPJ waliokamatwa nchini Tanzania wameachiwa huru

No Comments

Haki miliki ya pichaCPJImage captionKushoto ni Muthoki Mumo, na wa kulia ni Angela Quintal Mamlaka nchini Tanzania zimewaachia huru waakilishi wawili ...

Read More

Wakenya wajizolea faida kutokana na uuzaji wa tunda la parachichi

No Comments

Tunda la parachichi limesifika kutokana na faida yake kwa afya Parachichi kwa tosti ya mkate, saladi au juisi? Kuna njia nyingi ...

Read More

Je wapinzani Tanzania wamejipanga kutatua changamoto zinazowakabili?

No Comments

Image captionLowassa na Magufuli walikutana Ikulu Januari 2018 kwa mara ya kwanza baada ya uchaguzi wa 2015 Hama hama ya wabunge, ...

Read More

Maisha yangu ya jinsia mbili: Sasa nina uume mpya nina matumaini ya kupata mpenzi

No Comments

Mapema mwaka huu Anick mwenye miaka 23 ambaye alizaliwa akiwa na viungo viwili, alikuwa akijiandaa kwa upasuaji wa mwisho ambao utampa ...

Read More