Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia na watoto Ummi Mwalimu amesema kuwa wizara yake itaendela kutoa vipaumbele kwa wanawake na wazee

DAR ES SALAAM

Waziri wa Afya maendeleo ya jamii jinsia na watoto  Ummi Mwalimu amesema kuwa wizara yake itaendela kutoa vipaumbele kwa wanawake na wazee kwa kuwaboreshea huduma za afya na kuwashirikisha katia mambo mbalimbali ya maendeleo.

Waziri MWALIMU ameyasema hayo jijini Dar Es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mkakati wa serikali ya awamu ya tano katika kuboresha maslahi ya wanawake na wazee.

Comments

comments