Wanariadha wa Kenya watakaoshiriki Olimpiki kutajwa leo

Shirikisho la riadha nchini Kenya linatarajiwa leo kujata kikosi kitakachowakilisha nchi hiyo kwenye mashindano ya olimpiki ya mwezi Agosti nchini Brazil.Ijumaa iliyopika shirikisho hilo liliwatumia barua wanariadha 12 wawake 6 na wanaume 6 ambao wameandikisha matokeo mazuri kwenye mashindano ya marathon za kiwango cha juu duniani.

Wanatarajiwa kuthibitisha leo iwapo wangependa kuwa miongoni mwa kikosi kitakachoelekea Mjini Rio De jenairop kwa mashandani hayo.

Comments

comments