wanachama wa shirika la hali ya hewa nchini wameadhimisha siku ya hali ya hewa duniani

DAR ES SALAAM

wanachama wa shirika la hali ya hewa nchini  wameadhimisha siku ya hali ya hewa dunianikwa kupanda miti ili kuonyesha umuhimu wa kutunza mazingira kama njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dare s salaam mkurugenzi  mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa tanzania  DKT.AGNES KIJAZI amesema  kuwa wameshirikiana na wakala wa misitu kupandamiti ambapo wakala wa misitu wametoa miche ya miti inayotarajiwa kuoteshwa  sehemu mbalimbali nchini.

Comments

comments

Random Posts