Wakenya wajiandaa kwa mbio za dunia za nyika Kampala.

Wakenya wajiandaa kwa mbio za dunia za nyika Kampala.

Wakenya wajiandaa kwa mbio za dunia za nyika Kampala.

Timu ya riadha ya Kenya inazidi kujiandaa kwa mbio za dunia za nyika tarehe 26 mwezi huu mjini Kampala.

Wanariadha hao wanafanya mazoezi katika eneo la Embu mashariki mwa Kenya.

#SIBUKAMEDIA

Comments

comments