Vijana Watakiwa Wapewe Elimu Ya Kumjua MUNGU.

img-20161219-wa0037

Wazazi na Walezi wametakiwa Kukaa na Vijana na Kuwapa Elimu ya Kumjua MUNGU Ili Kuepikana na Vitendo Viovu.

Wito Huo Umetolewa na Amiri wa Jumuiya ya Wanafunzi Vijana Wakiislamu Tamsiya Hashimu Ally Katika Semina ya Vijana Wenye Lengo La Kuwaelimisha Vijana Kuwa Na Hofu ya MUNGU na Kuweza Kuepukana na Vitendo Visivyofaa

Amiri Huyo wa Mkoa Wa Dar es salaam Ameongeza Pia ni Vyema Serikali na Taasisi Binafsi Zishirikiane Kutoa Elimu huyo Kwani Vijana Wengi Wameonekana Kuingia Katika Vitendo Vya Kuiga Mambo ya Kimagharibi Kwa Upande Wake Mdau wa Jumuiya ya Wanafunzi Vijana wa Kiislamu .

Hassani Kibwembwe Ameeleza Kuwa  Utandawazi ndio UnaoharibuVijana Kma Wakitumia Kwa Mambo Yasiyofaa na Kama Wakitumia Vizuri Itasaidia Kujifunza na Kujikwambua Kiuchumi.

Aidha Amewataka Vijana Kutumia Technologia  ya Utandawazi Katika Kujielimisha na  Kusoma vitu vyenye Maadili Ili Waweze Kuwa taifa Bora na Kuepuka Mambo ya Kuiga Vitu Visivyofaa.

#SIBUKA MEDIA

#Imeandaliwa na Tuse Kasambala

Comments

comments

Random Posts