Ufaransa kuandaa mkutano kuhusu amani ya Mashariki ya Kati Juni 3

Ufaransa itaandaa mkutano wa kimataifa kuhusu amani ya kanda ya Mashariki ya Kati Juni 3 kwa lengo la kuhamasisha jumuiya ya kimataifa kupendelea suluhisho la Nchi Mbili na kutafuta hatua zinazoweza kusaidia Israel na Palestina kurudi kwenye njia ya amani.Mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu, lakini uliahirishwa kutokana na ratiba waziri wa mambo ya nje wa Marekani John Kerry ambaye hawezi kuhudhuria wakati huo.

Comments

comments