Filamu ya leo kupitia Sibuka Maisha.

18

Usikose kutazama filamu hii mulua #FIONA saa 3:00 usiku kupitia Sibuka Maisha Steps channel no 111 StarTimes Tanzania

Kujiuga na Sibuka Maisha fanya yafuatayo;
1. Piga *150*63#
2. Chagua lugha
3. Chagua namba 5
4. Ingiza smart card namba yako mara mbili
5. Kicha chagua kifurushi unachotaka kilichounganishwa na SIBUKA
AU
Piga simu namba 0758 833833 au 0764 700800 sema unataka kuunganishwa na SIBUKA MAISHA
AU
Tuma ujumbe mfupi kwa kuweka smart card namba yako na kifurushi unacholipia kwenda namba 0753 668358.
Nasi tutakuunganisha.
Inabamba.’Bongo movies, Bandika Bandua’
Jiunge nasi utabasamu
#inabamba

Comments

comments