TFF imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Benki ya KCB wa TZS 325,000,000

KCB

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leo tarehe 25.9.2017 imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Benki ya Kenya Commercial Bank (KCB) wenye thamani ya TZS 325,000,000, KCB ambayo ni benki kubwa zaidi Afrika Mashariki inachukua nafasi ya benki ya Diamond Trust Bank ambayo udhamini wake wa mwaka mmoja uliisha miezi miwili iliyopita. Imekuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bar

  • #SIBUKAMEDIA

Comments

comments