Tanzania Yaongoza Kwa Uzalishaji na Uuzaji wa Maharage Africa.

IMG_20170512_125927_703

Tanzania inatajwa kuwa ndio kinara wa uzalishaji na uuzaji wa maharage barani Afrika. Ikiwa na eneo la ukubwa wa hektma Milioni 1 nukta 3 za mashamba ya maharage, nchi hii inalisha mamilioni ya watu Afrika.

Mkoani Kagera, ni Mkoa unaoongoza kwa uzalishaji wa zao la maharage nchini Tanzania

#SIBUKAMEDIA

#BBC SWAHILI

Comments

comments