Tanzania JOB NDUGAI kupangua baadhi ya kamati za bunge, chama cha ACT WAZALENDO

 

DAR ES SALAAM

Siku moja baada ya spika wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania JOB NDUGAI kupangua baadhi ya kamati za bunge, chama cha ACT WAZALENDO wamekosoa uamuzi huo wa spika kwa madai kuwa uamuzi huo unafifisha mapambano dhidi ya rushwa na uwajibikaji.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dar Es Salaam mwenyekiti wa kamati ya bunge na serikali za mitaa ACT WAZALENDO bwana YEREMIA MAGANJA amesema kuwa uamuzi huo wa spika unafuatia kashfa nzito ya viongozi na wajumbe wa kamati mbalimbali za bunge kupokea rushwa kutoka mashirika mbalimbali ya UMMA kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.

Comments

comments