Sibuka Lotto

'SELEMA KWA ELFU'

Bahati nasibu hii imelenga kutoa msaadaa kwenye uzalishaji wa mazao ya kilimo , kwa niaba ya Sibuka Cot Limited, S.L.P 75700 Dar es salaam, ikijulikana Kama 'SIBUKA LOTTO' na 'SELEMA KWA ELFU' kwa jina la Bahati nasibu na kauli mbiu ya kampeni ya msingi huu.

DROO

Bahati nasibu hufanyika kila wiki kwa Washiriki wapya na Bahati nasibu kuu kwa washiriki wote siku ya jumamosi ya tarehe 9 disemba 2017.#John Deer 4WD - 5065 HP Tractor

MALIPO

Kila Ushiriki utakuwa Tzs 1000/= itakayolipwa kwa njia ya simu ya waendeshai Kampuni ya Sibuka Namba ya Malipo 367777 na kumbukumbu Namba 3538 na Tiketi ya Kielekroniki itatolewa au kutumwa kwa kila ingizo la bahati nasibu lililofanywa na mshiriki kwa njia ya ujumbe.

ZAWADI

Zawadi zitatolewa kwa washindi kupigiwa simu na kuwasiliana tiketi halali ya ushindi ndani ya siku saba baada ya shindano
1.John Deer 4WD 5065 HP Tractor
2. Plau (100)
3. Sprayer Pump (100)
4. Bodaboda 125cc (15)
5. Baiskel (100)
6. Mipira (100)
7. Radio transistor set (100)

TAREHE ZA DROO

Jumamosi 30 Septemba 2017
Jumamosi 7 Octoba 2017
Jumamosi 14 Octoba 2017
Jumamosi 21 Octoba 2017
Jumamosi 28 Octoba 2017
Jumamosi 4 Novemba 2017
Jumamosi 11 Novemba 2017
Jumamosi 18 Novemba 2017
Jumamosi 25 Novemba 2017
Jumamosi 2 Novemba 2017