Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT JOHN POMBE MAGUFULI ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama.

Rais John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, DKT JOHN POMBE MAGUFULI ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kilichoanza leo Jumatano ya Sept 27,2017 Ikulu Jijini DAR ES SALAAM.

Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wote wa Halmashauri Kuu,wakiwemo Makamu wa Rais Mama SAMIA SULUHU HASSAN,Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DKT. ALLI MOHAMED SHEIN,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania KASSIM MAJALIWA na Makamu wa pili wa Rais wa ZANZIBAR Balozi SEIF ALLI IDD.

  • #SIBUKAMEDIA

 

 

 

 

 

Comments

comments