IMG-20160802-WA0016

Rais Magufuli aombwa kufikiria upya kuhamishia Serikali Dodoma.

IMG-20160802-WA0016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli ameombwa kufikiria upya uamuzi wake wa kuhamishia serikali yake Dodoma ili afanye maandalizi ya kutosha.

Ombi hilo limetolewa jijini Dar es Salaam  na mbunge wa viti maalum kwa tiketi ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA  na Waziri kivuli wa elimu,sayansi na teknolojia Bi.Susan Lyimo wakazti akizungumza na SIBUKA MEDIA.

Bi.Suzan amesema ni ukweli usiopingika kuwa azma ya serikali ya kuhamia Dodoma ipo kwa nia nzuri lakini serikali haijafanya maandalizi ya kutosha kuwezesha idara na wizara zote za serikali kuhamia Dodoma.

 

Comments

comments