Rais Magufuli amefuta umiliki wa mashamba mawili makubwa na kuyarudisha Serikalini, likiwemo la AMADORI na la YUSUPH MANJI.

Mh. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli amefuta umiliki wa mashamba mawili makubwa na kuyarudisha Serikalini, likiwemo la AMADORI na la YUSUPH MANJI.

Serikali imefuta umiliki wa shamba la mfanyabiashara YUSUF MANJI, lenye ukubwa wa eka 714.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, WILLIAM LUKUVI amesema leo Jumatano kuwa, shamba hilo litapangiwa matumizi mengine.

Waziri LUKUVI amesema shamba lingine la kampuni ya AMADORI lenye ukubwa wa eka 5,400 pia limefutwa.

Waziri amesema mashamba hayo sasa yako mikononi mwa Serikali na yatapangiwa matumizi mengine.

Mashamba mawili yaliyofutwa yapo Kigamboni

#SIBUKAMEDIA

Comments

comments