PICHA: Jacob Steven(JB) katika chakula cha usiku na washindi wa Kalambati Lobo.

img_0158
Msanii nguli wa filamu Tanzania Jacob Steven maalufu kama JB, jana Alhamisi aliandaa chakula cha usiku na washindi wa swali linalohusiana na filamu yake mpya itakayo zinduliwa leo kwa mara ya kwanza katika channel ya Sibuka Maisha inayopatikana katika king’amuzi cha StarTimes channel namba 111. Swali hilo aliuliza katika ukurasa wake wa Instagram.

_mg_0016

img_0094

j21a8384 img_0085 img_0080 _mg_0030

Comments

comments