Muigizaji afariki akiwa na miaka 99

_93023055_54ffe85f-a1fb-43c9-8a82-3e1a6eb12944

Muigizaji maarufu Zsa Zsa Gabor amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 99. Alitengeneza zaidi ya filamu sita lakini alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya string of husbands na love of diamonds.

Kwa hesabu zake mwenyewe Zsa Zsa Gabor aliwahi kuolewa mara nane na nusu. Hakumhesabu mwanaume wa Hispania mwaka 1982.

Alikuwa maarufu kwa miongo kadhaa, kuibuka kwa Paris Hilton au Kim Kardashian. Sauti yake ya kuburudisha ilikuwa pia historia. Akitoa maoni juu ya kushindwa kudumu katika ndoa Gabor alisema katika ndoa zake alifanywa kama msimamizi wa nyumba kwa sababu kila alipokuwa akipewa talaka yeye aliachiwa nyumba.

#BCC SWAHILI

Comments

comments