Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) nchini Angola wameandaa tamasha la jinsia linalotarajiwa kufanyika mwezi septemba

Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na asasi za kiraia kwa pamoja wameandaa tamasha la jinsia linalotarajiwa kufanyika mwezi septemba mwaka huu.

Waziri wa Ulinzi JOAO LOURENCO ndiye mgombea wa chama tawala cha People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) anayetegemewa kumpokea uongozi DOS SANTOS, ambaye bado ataendelea kuwa kiongozi wa chama.

Wakosoaji wa ANGOLA wamedai kwamba vyombo vya habari kama vile redio na televisheni vimetumika zaidi kuripoti kampeni za chama cha MPLA.

Waangalizi wa uchaguzi kutoka nchini nyingine za Kiafrika wataufuatilia uchaguzi huo, lakini Umoja wa Ulaya utatuma timu ndogo tu.

Upinzani mkuu nchini humo ni chama cha National Union for the Total Independence of Angola (UNITA), ambacho kilianzia kama kundi la uasi na kuwahi kupigana na chama tawala cha MPLA katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.

#SIBUKAMEDIA

Comments

comments