Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda Azindua Mradi wa Maji Boko.

IMG_9193

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Leo Amezindua Mradi wa Maji Katika Kata ya Boko na Kuwataka Dawasco Kuwepo na Uendelezo wa Upatikanaji wa Maji Ili Kupunguza Changamoto za Upatikanaji wa Maji Safi na Yaliyo Salama

IMG_9185
Nae Katibu Tawala msaidizi/Maji wa Mkoa wa Dar es salaam Enginia Elizabeth Kingu Ametoa Wito Kwa Miradi ya Jamii Dawasco Watoe Huduma nzuri na Wananchi Watarajie Huduma Nzuri Zaidi Kuliko Hapo Awali.

IMG_9174

Mpiga picha: Shynes

#SIBUKAMEDIA

Comments

comments