Matokeo kamili ya urais yasubiriwa Kenya.

Uchaguzi Kenya

Waangalizi wa uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema walifurahishwa na jinsi uchaguzi ulivyoandaliwa siku ya uchaguzi.

Wamekataa kuzungumzia madai ya upinzani kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi IEBC ilidukuliwa.

Wamesema hawakuwa “wanaangalia udukuzi”.

Tume ya uchaguzi Kenya imesema inaendelea kupakia Fomu 34A (fomu za kuthibitisha matokeo katika vituo vya kupigia kura) mtandaoni.

Upinzani ulitaka matokeo yanayotolewa katika mtandao wa tume hiyo yawe yanaambatana na fomu hizo.

  • #BBCSWAHILI
  • #SIBUKAMEDIA

Comments

comments

Random Posts