Maporomoko ya ardhi yafukia watu wengi Sierra Leone

Maporomoko ya ardhi yafukia watu wengie Sierra Leone

Watu kadhaa wanahofiwa kukwama baada ya maporomoko ya udongo kutokea karibu na mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown.

Eneo moja la milima liliporomoka mapema leo Jumatatu kufuatia mvua kubwa, na kusababisha nyumba nyingi kufukiwa kwa mjibu wa mwandishi wa habari wa BBC Umaru Fofana

Mwandishi wa habari aliye eneo hilo anasema kuwa watu wemgi walipatwa wakiwa bado wamelala wakati maporomoko yalitokea

Maafisa wanasema kuwa ni mapema sana kutoa idadi ya watu waliouawa

Watu wamesambaza picha za uharibifu uliotokea kwenye mtandao wa twitter ya za mafuriko ndani nanje ya mji wa Free town.

  • #SIBUKAMEDIA
  • BBC SWAHILI

Comments

comments