Madereva wa malori waliotekwa Kongo DRC waokolewa

conz-mmap-md

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya DRC hatimaye waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambae ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.

Na mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa Congo Byobe Malenga.

#BBC

Comments

comments