Leo tarehe 23 Machi, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli memteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.

magu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amemteua Bw. Alphayo
Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu.
Bw. Alphayo Kidata anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Peter
Ilomo ambaye amestaafu.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Alphayo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na nafasi hiyo itajazwa.
#Sibukamedia

Comments

comments

Random Posts