Kuhama kwa wachezaji EPL: Orodha ya wachezaji waliohama siku ya mwisho Ligi Kuu England Agosti 2018: Yerry Mina, Jordan Ayew, Andre Gomes, Danny Ings

Dirisha kuu la uhamisho wa wachezaji England lilifungwa mnamo Alhamisi 9 Agosti saa moja saa Afrika Mashariki (ambazo ni saa kumi na moja England – 17.00BST), mwaka huu soko likifungwa mapema kuliko misimu ya awali.

Klabu zinazocheza ligi nyingine England na Wales, miongoni mwake ligi za Championship, League One na League Two bado zinaweza kuendelea kuwanunua wachezaji hadi mwisho wa mwezi huu

Soko la kuhama wachezaji Scotland pia litafungwa 31 Agosti sawa na katika mataifa mengine Ulaya.

Siku ya mwisho, nani alihama?

Comments

comments