Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliro leo amekabidhi zawadi kwa washindi wa sibuka Lotto kwa wakazi wa Dar es salaam.

IMG_4242

Mkurugenzi wa SIBUKA MEDIA Dkt.George Nangale akiongea na RPC wakati akiingia katika kukabidhi zawadi za sibuka lotto.

IMG_4457

Mkurugenzi wa SIBUKA MEDIA akitoa maneno machache wakati wa makabidhiano ya Zawadi za SIBUKA LOTTO Kwa wakazi wa Dar es salaam.

IMG_4491

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliroakiongea kidogo kuhusu SIBUKA LOTTO Leo.

IMG_4514

Mkurugenzi wwa SIBUKAMEDIA Akimpatia Mpira wenye Viwango vya Kimataifa kama Zawadi kutoka SIBUKA LOTTO Selema Kwa Elfu.

IMG_4535

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliroa akiwa na Picha ya Pamoja na Washindi wa Sibuka lotto Selema Kwa Elfu.

IMG_4554

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliro Pamoja na Mkurugenzi wa SIBUKAMEDIA Akitembelea SIBUKA TV pamoja na SIBUKA FM.

 

 

  • #SIBUKALOTTO
  • #SELEMAKWAELFU

Comments

comments