Jamii Inapaswa Kuwalinda Watoto dhidi ya Ukatili, Ikisaidiana na Serikali

 

img-20161214-wa0012

Mh. Ali Hassan Mwinyi rais wa Awamu Ya Pili Nchini Tanzania

Mh. Mwinyi amesea kwa Kila Mtanzania Kwa Kusaidiana na Serikali Wanapaswa Kuwalinda Watoto  hata wale waishio Mtaani  Kwakuwa Wote wanastahili haki ya Malezi Bora na Kupinga Kufanyiwa Vitendo vya Ukatili

Imeelezwa Kuwa Jamiii Inayo wajibu wa Kuhakikisha watoto Wanalindwa na Kukuzwa Kwa Maadili Mema Ili Kuwaepusha na Vitendo Vya Kikatili Vya Kingono. Ameleza hayo Jijini Dar es salaam rais Mstaafu Awamu ya Pili Mh. Hassan Mwinyi katika tarehe za Kutimiza Miaka 70tangu kuanzishwa Unicef mwaka 1946 hadi Kufikia mwaka 2016

Nae Waziri wa Maendeleo ya Jamii ,Jinsia na Watoto . Mh. Ummy Mwalimu akizungumza Katika Sherehe hizo za UNICEF amesema Takwimu Zinaonyesha  Kuwa Kati ya watatu wa Kike mmoja wao ameshafanyiwaukatiliwa kingono, Wa kiume  kati ya Saba mmoja ameshafanyiwa Ukatili wa Kingono

#SIBUKA MAISHA

#Imeandaliwa na Tuse Kasambala

Comments

comments