Chama cha riadhaa na bank ya Azania wamesaini makubaliano ya kufanya mashindano ya riadhaa kwa watoto kuanzia miaka 16

IMG_0088

Chama cha riadhaa na bank ya  Azania wamesaini makubaliano  ya  kufanya mashindano ya riadhaa kwa watoto kuanzia miaka 16.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dare s salaam makam wa kwanza wa rais wa chama cha riadhaa tanzania BW. WILIAM KARAGE amesema kuwa wameamua kushirikiana na  bank hiyo ili kukuza vipaji vya watoto.

IMG_0104

Kwa upande wake  mkurugenzi  mtendaji  BW.GODFREHI MOSU amesema kuwa shindano hilo linatarajiwa kuleta  mwangaza  katika jiji la dare s salaam na kuibua vipaji vya watoto.

Nae mkuu wa mkoa wa dare s salaam  BW. PAUL MAKONDA amewashukuru Azania bank kwa kudhamini mashindano ya riadhaa kwa watoto hatua itakayosaidia  kupunguza uhalifu katika jiji hilo.

 

Comments

comments