BI. UMMI MWALIMU amesema serikali ya awamu ya tano itahakikisha inaendelea kutoa huduma za kutibu ugonjwa wa kifua kikuu bure

DAR ES SALAAM

24.3.2016

Waziri wa afya  jinsi wazee na watoto  BI. UMMI MWALIMU  amesema serikali  ya awamu ya tano  itahakikisha inaendelea kutoa huduma za kutibu ugonjwa wa kifua kikuu bure ilikusaidia kupungunza ongezeko la  vifo vya wagonjwa wa kifua kikuu linapungua.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini dare s salaam BI. MWALIM amesema kuwa ugonjwa wa kifua kikuu umekuwa ugonjwa sugu ambao unawatesa watu wengi hivo serikali inatakiwa ifikifeshe elimu vijini na mijnini kuwa himiza kupima afya zao mara kwa mara  pamoja na kuendesha kampeni za kuelimisha jamii kuhusiana na ugonjwa huo.

Comments

comments