Bandika bandua ya Bongo movies kuanza rasmi.

this_is_it

Ile ‪#‎BandikaBandua‬ ya Bongo Movies kupitia channel yako bomba ya Sibuka Maisha Steps kuanza rasmi kesho tarehe 19 july 2016.
Usikose kutazama movie kutoka kwa Hayati Steven Kanumba inayoitwa This is it. Saa 3:00 usiku.

Ukitaka kujiuga na Sibuka Maisha fanya yafuatayo;
1. Piga *150*63#
2. Chagua lugha
3. Chagua namba 5
4. Ingiza smart card namba yako mara mbili
5. Kicha chagua kifurushi unachotaka kilichounganishwa na SIBUKA

AU
Piga simu namba 0758 833833 au 0764 700800 sema unataka kuunganishwa na SIBUKA MAISHA

AU
Tuma ujumbe mfupi kwa kuweka smart card namba yako na kifurushi unacholipia kwenda namba 0753 668358.
Nasi tutakuunganisha.

Inabamba.’Bongo movies, Bandika Bandua’
Jiunge nasi utabasamu

‪#‎Inabamba‬

Comments

comments