Akamatwa kwa kupanda mnara wa makao makuu ya Trump Marekani

trumptower

Mtu mmoja aliyejaribu kupanda mnara wa Trump uliopo jijini New York, ameondolewa na polisi katika jengo hilo baada ya kuchomwa na vioo vya jengo hilo lenye ghorofa hamsini na nane ambayo ni makao makuu ya kampeni za kumchagua Donald Trump.

trumpp

Trump anaishi kwenye chumba cha juu ya ghorofa hilo lakini kwa sasa anafanya kampeni zake nje ya mji.

Mpandaji alijivuta huku akiwa akionekana kuwa amelewa, akitaka kuingia ndani ya jengo hilo.

Polisi waliofika eneo la tukio wamesema hawakuweza kutambua nini haswa lilikuwa lengo lake.

 

Comments

comments

Random Posts

 • dr-shein-new-cabinet Zanzibar kuanza mchakato wa ununuzi wa meli mpya.

  Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji visiwani Zanzibar imeanzisha mchakato wa kununuzi meli mpya ya abiria na mizigo pamoja na […]

 • Shule za Msingi

  Halmashauri ya manispaa ya Ilala jijini Dar-es-salaam imeanza zoezi la kufungia shule za msingi na awali zisizosajiliwa. Hayo yamebainishwa na […]

 • c3 Sailor’s ship was hit by kamikaze

  Tincidunt varius sequi, integer magna ac, donec curabitur. Rhoncus sed. Lectus vitae augue, mauris tincidunt. Ut nec fermentum, dolor vestibulum. […]

 • cctv camera Ufilipino : Watu 36 wafariki chumba cha kamari Manila

  Watu 36 wameuawa katika kituo cha kuchezea kamari mjini Manila, Ufilipino baada ya mtu mwenye silaha kuanza kuwafyatulia risasi watu […]