Serikali ya Wilaya ya Kondoa kutatua migogoro ya ardhi

mgogoro

Serikali ya Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua migogoro ya ardhi na mipaka iliyokuwa ikisumbua kwa muda mrefu na ambayo awali migogoro hiyo ilitajwa kuwa sugu na isiwezekana kutatulika

 Hayo yamebainika katika siku ya tatu ya mkuu wa mkoa wa Dodoma dokta BINILTH MAHENGE ambayo ilimfikisha  katika wilaya ya Kondoa ambayo awali ilikuwa inatajwa kuwa na migogoro ya ardhi,migogoro ya mipaka na migogoro iliyokuwa inasababishwa na dini.

 Kutokana na jitihada mbalimbali zilizochukuliwa na viongozi wa wilaya hiyo migogoro hiyo sasa imebaki historia baada ya baadhi yake kumalizwa kwa njia ya majadiliano,na mingine ikiwa inaendelea na utatuzi kama anavyobainisha mkuu wa wilaya hiyo SEZARIA MAKOTA.

  • #SIBUKAMEDIA

 

Comments

comments