Shule za Msingi

Halmashauri ya manispaa ya Ilala jijini Dar-es-salaam imeanza zoezi la kufungia shule za msingi na awali zisizosajiliwa.

Hayo yamebainishwa na Afisa elimu wa manispaa hiyo Bibi Elizabeth Thomas wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema kuwa zoezi hilo ni endelevu ambapo tangu jana na leo wamekwishafungia shule kumi na sita kati ya shule 125 zisizosajiliwa ikiwemo shule ya Gift Academy,Pwani na New Generation.

  • Mwandishi : Stanley Burushi.
  • #SIBUKAMEDIA

Comments

comments