Makabidhiano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu Mstaafu Mzee Edwin Mtei aliyekuwa mmoja wa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia akimmkabidhi Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kiti cha jumuiya hiyo katika mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
 e2
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe baada ya kumalizika kwa mkutano wa 18 wa kawaida wa,
e3
Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017.
e4

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

e5

Meza kuu katika picha ya pamoja na mabalozi wa nchi mbalimbali baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

e6

 Meza kuu katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule za sekondari za nchi mbalimbali walioshiriki mashindano ya Insha baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017

e8
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufuli, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda, Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto wakisalimiana  na wanafunzi wa shule za sekondari za nchi mbalimbali walioshiriki mashindano ya Insha baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
 e9
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki aliyemaliza muda wake Rais Dkt John Pombe Magufulna  Naibu Rais wa kenya Mhe. William Ruto wakiongea na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Pindi Chana baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017.
e10
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akimpongeza Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa na Kikanda Dkt.Augustine Mahiga pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe Ali Siwa na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Pindi Chana baada ya mkutano wa 18 wa kawaida wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2017
  • #SIBUKAMEDIA

Comments

comments

Random Posts